UTARATUBU WA MANUNUZI

Chagua bidhaa unayoipenda kulingana na size na bei inayokufaa kisha tambua CODE NAMBA yake utakayoitumia kutambulisha bidhaa uliyochagua ukiongea na huduma kwa mteja.

Piga simu au sms au watsapp huduma kwa Mteja namba 0719 307809 (24hrs) au Email. arushabeipoa@gmail.com Kisha uliza kama bidhaa uliyochagua imeuzwa au ipo kisha utapewa utaratibu mzima wa kupata bidhaaa yako.

Kutokana na kupokea oda nyingi za nguo na bidhaa unaweza kufanya malipo ya bidhaa uliyochagua ON LINE kwa TIGO PESA au kwa wakala aliye karibu na wewe  click here kuona wakala  kisha utapewa password na huduma kwa mteja/wakala utakayoitumia kuchukulia bidhaa dukani kwetu hapa ARUSHA - CLOCK TOWER au kuja dukani kulipia na kuchukua bidhaa yako. (Kwa wateja watakaolipia dukani hakikisha unaweka oda ya bidhaa kabla ili kuitag isiuzwe pia ukumbuke CODE namba ya bidhaa)

>Kwa wateja wanaotaka bidhaa kwa jumla wasiliana na huduma kwa mteja 0719 307809 au
 Email : arushabeipoa@gmail.com 

>Kwa wateja wanaohitaji kuletewa bidhaa mahali walipo watalipia gharama za usafiri wa daladala (ndani ya Arusha) na kwa wateja nje ya Arusha watalipia usafiri wa mzigo.
 NB: hii ni kwa bihaa kuanzia kiwango cha Tsh 30,000 /= ndani ya mkoa na Tsh 50,000/= nje ya mkoa

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI 0719 307809!!!!!!!



   ARUSHA BEI POA NI POA KABISAAAAAA!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment